Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,209
- 18,944
Mimi kinachonishangaza zaidi Ni jinsi walengwa wanavyouchuna hakuna anayekuja ku- counter Uzi unaomlenga😂
Nakaziamambo ya kushobokea pisi za humu ndani ipo siku mtu atakuja liwa trakoo
mambo ya kushobokea pisi za humu ndani ipo siku mtu atakuja liwa trakoo






Very beautiful...Ila mwaka huu bado wewe tu shosti yangu🤣
Acha tu my wangu 😀😀😀mi mwakaniVery beautiful...Ila mwaka huu bado wewe tu shosti yangu🤣
Aah wapi mwaka bado mbichi Sana huu....we Tulia tu Kuna mtu siku atakunywa zakw double kick akikurupuka huko ni waraka wa hamani, utakuna na tag 50 unaitwa🤣🤣🤣🤣sio poaAcha tu my wangu 😀😀😀mi mwakani
KIKURTA ndiyo kitu gani?YANI MTOTO WA KIKURTA UNAANDIKA UJINGA HIVI
WAKURYA HAWANYENYEKEI WANAWAKE WEWE SAWA?
ILA NYIE BAADHI YA WANAUME MNATUANGUSHA SANA HUMU JF
MTAKUJA KULIWA
Mbn ww hawakuuuliziii