Nimeona nije niilete hapa...
zamani niliwahi kuambiwa Condoms kwa kiswahili zinaitwa KIFUDUSI au VIFUDUSI..Kwa wingi...
lakini sijasikia saana haya maneno yakivuma....
sasa naona ni wakati muafaka yakatumika na kama kuna mtu anajua zaidi ya haya
aweke hapa wengine wajifunze
wanaharibu maana wanakaa kama kamati na kutafuta neno la kiswahili badala ya kuacha lugha ijipanue yenyewe-mbona tunatumia maneno ya kiarab,kireno n.k
so naon kwa maneno kama kondom,password yaachwe yabakie kama yalivyo-ijulikane ni neno la kigeni tumeazima-kuliko kukaa na kutafuta maneno wanayojua wao wenyewe na kufanya hata sisi waswahili tushindwe kuyafahamu