njiro
Senior Member
- Nov 7, 2010
- 146
- 107
Last time tukiwa kazini, kabla muda wa kazi haujaanza from nowhere ukatokea mjadala kuhusu Condom, kwanini wanaume wanasisitiziwa sana kutumia wakati wakiana dada si kwa sana, so wadada wa hapa ofisini kwangu wakasema kuwa hawajui kama zipo. Mimi kwa kuwa nazijua nikajitolea kwenda kuzinunue niwaletee wazijue(hata kutumiia pia). Cha kushangaza nikaenda maduka ya dawa yote karibu na Hospitali ya KCMC sikuzikuta, yaani hawaziuzi kisa hakuna wateja so swali langu ni hili nani anajali kuhusu matumizi ya Condom Kaka ama dada.
Nawakilisha
Nawakilisha