Condom inasaidia wakuu



Imebidi tu nicheke maana hamna namna tena.

Wanyarwanda, ni zaidi ya filamu za Kikorea na Kisipaniola.
 
Nachukia sana watu wanaopotosha watu humu ndani ila after all kila mtu atalipwa kila anachostahili hii dunia. Kuna mtu anaitwa deception nae anapinga kinoma kuhusu ngoma na anakuja na hoja nzito sasa wengine wamemwelewa huyo ndugu mwisho wa siku.....
wewe ukimwi haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…