Condom inasaidia wakuu

N
Nitashangaa sana kama bado unaendelea na uzinzi..
 
BLOOD GROUP "C" mkuu are you human? what i know, the only blood groups exist in human is ABO system.
 
BLOOD GROUP "C" mkuu are you human? what i know, the only blood groups exist in human is ABO system.

Dah ebhana nilikengeuka Kiuandishi kweli ni Group O halafu nimeandika C. Nilikengeuka tu Mkuu na poleni kwa huo usumbufu.
 
Nawaombeni radhi nyote kuna mahala nilikengeuka na kimakosa kabisa nikaandika Blood Group C badala ya O wakati nimechangia huu uzi mahala fulani. Halikuwa kusudio langu bali mawazo yangu yote muda ule niliyahamishia Dodoma kwa Waziri Mpango. Poleni sana kwa usumbufu huo na sikufanya makusudi ni bahati mbaya tu.
 
 
Hahahhaha mkuu uliruka sarakasi kwenye transformer, Ila unabahati halikulipuka
 
Mwambie mkapime,vinginevyo hakuna ushahidi kuwa ana ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…