Conclusion (Wanawake waliosoma ni wasumbufu) ( wanaume ndo tatizo).


Kaka mwanamake aliye soma anastahili yake ya maisha ni sawa ukioa kamwanamke kazungu, unafikiri katavumilia kwenda kila siku sokoni peke yake, katakulazimisha tuu. Halafu usitumie nguvu nyingi kumtawala mwanamke, tumia akili zaidi atajileta mwenyewe.
 
Kaka mwanamake aliye soma anastahili yake ya maisha ni sawa ukioa kamwanamke kazungu, unafikiri katavumilia kwenda kila siku sokoni peke yake, katakulazimisha tuu. Halafu usitumie nguvu nyingi kumtawala mwanamke, tumia akili zaidi atajileta mwenyewe.

Unawatania watu wa Pwani..kule Zenji siyo maana kule wanaume wenda markiti eti!
 

Sasa kwa maana hiyo tuache kuwasomesha wanawake. Mie nilifikiri wanaume tutafute njia mbadala ya kutatiua tatizo. Kama tusipo waoa hawa wasomi bado tutajenga taifa maskini.
 
Ukinyimwa kufikiri, utaishi kama mtumwa milele. Wanaofikiri wanaweza kuishi kwa kuwatumikisha wenzao ndio wanaoogopa elimu. Mwanaume asiyesoma elimu dunia ni taabu kuliko mwanamke asiyesoma. Mark my words!!!
 
Ukinyimwa kufikiri, utaishi kama mtumwa milele. Wanaofikiri wanaweza kuishi kwa kuwatumikisha wenzao ndio wanaoogopa elimu. Mwanaume asiyesoma elimu dunia ni taabu kuliko mwanamke asiyesoma. Mark my words!!!
. this theory is true. Mwanaume darasa la saba hawezi kuishi na mwanamke graduate, never. lakini kinyume chakeinawezekana,
 
Mi nadhani haya ya kudai DUNIA IMEBADILIKA MWANAUME NAE AOSHE VYOMBO, APIGE DEKI, AKUNE NAZI n.k. lazima vizingatie utamaduni pia. Wewe mtoto wa kike, umekulia ktk utamaduni wa mwafrika, mama yako amekufunda hivyo pia, leo kwa kutumia kisomo chako unamgeuzia kibao mwanaume kwa kudai DUNIA IMEBADILIKA, LAZIMA UKUNE NAZI . . .?? Nigeria sasa hivi wanawake wanalalamika eti wanasoka nyota wanaocheza soka nje ya nchi yao wanaoa wanawake wa nje ya nchi tu, wakat wao wapo wamejaa tele . . . Wanasoka wenyewe wanasema mabinti wengi wa ki-Nigeria ni wavivu wa kazi za ndani ya nyumba, wanataka kuishi kizungu, kazi zao kubwa ni kujipamba na kujiremba, shopping, kwenda out, na kulala tu. Kazi za ndani ni House Gal na House Boy
 
Isitoshe wanawake wengi wanaojitetea hapa, ukiangalia ktk maongezi wanaongea vizuri, lakin ukirudi ktk implementation wanageuka . . . anakwambia waziwazi HAWEZI KUKUNA NAZI KILA SIKU, MIKONO ITATOA SUGU . . . TAFUTA HG
 

Umesema mambo muhimu sana na nimeyapenda. Mie binafsi naunga mkono hoja zako. Kitu ambacho bado hakijaeleweka hapa , Wanawake wanao dai haki zao hawaja jua ni zipi kwani kuja vitu ambavyo ni tamaduni, na haviwafanyi waonekane wananyanyasika bali ni kitambulisho cha mwanamke wa kiafrica. Hata ukienda ulaya katika familia zilizo starabika, mwanamke anajua wajibu wake na mwanaume vilevile kulingana na tamaduni zao. Lakini tukisema tufuate siasa, hatuta fika.
 

Nakubaliana na wewe 100% . . . mambo kama kupiga mke, kumfanyisha kazi ngumu, kumtukana, na manyanyaso mengine yoote NDIO HASWAAA ya kupiganiwa WANAUME WAYAACHE, lakin haya ya KUFUA NEPI, KUUNGA MBOGA ni bora tu tukubali, kwa ustaarabu wa mwafrika haviendani kabisa. Mwanaume ndani ya nyumba kazi yake ni kufanya shughuli zote zinazohitaji nguvu au ujasiri kama labda tuseme kupanga makabati, kurekebisha vifaa vya umeme, na hata kufanya usafi mkubwa wa nyumba. Mwanaume anaweza kujitolea kuosha vyombo kwa nia ya kuonyesha kumjali mpenzi wake, na hata mwanamke akimuona mwanaume anaosha vyombo (kwa utamaduni wa wanawake wa kusini mwa Tanzania) inamgusa sana na wakati mwingine anaweza kukosa uvumilivu, akaamka na kwenda kumpokea mwanaume. Mwanamke atasikia raha sana kujionea vitu kama hivyo, hata ndoa ataiona tamuuuuuuuuu
 

Naamini hii ndio hitimisho ya huu mjadala. Uliyoyaandika yamemaliza migogoro yote.
 
isitoshe wanawake wengi wanaojitetea hapa, ukiangalia ktk maongezi wanaongea vizuri, lakin ukirudi ktk implementation wanageuka . . . Anakwambia waziwazi hawezi kukuna nazi kila siku, mikono itatoa sugu . . . Tafuta hg

wanajua kukuna nazi ni wajibu wao, ila mwanaume ukimsaidia utakuwa umefanya jambo ambalo hata lisahau. Unajua wanawake wanahitaji ushirikiano na si kufanya hizo kazi. Unaweza ukaingia jikoni , ukazogeza kijiko, mwiko huku strioty zinaendelea of ciourse atajkuona bonge la mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…