According to Jrafiki:
Mapenzi yanahusianishwa na mambo manne kwa mpigo.
1.Upendo wa kawaida ambao ni lazima uwe nao kwa anayekuwa mpenzi wako.
2.Hisia za kimapenzi.Hapa ni eneo pana sana ambalo kila mmoja anasababu zake zimvutiazo mpenzi wake,na ndilo eneo tunaloyumba nalo kila leo,wengne hufikia kujuta na kutotamani kuishi(Hisia za kimapenzi zinapokuwa collapsed).
3.Life status na mawazo tofauti baina ya watu wawili.
Kwa kuwa mapenzi hayahusishi mtu mmoja,aina budi kuoanisha status za maisha yenu na tabia.Ni vigumu kumpata mtu ambaye atakuwa anamechi na matakwa yako(namna upendavyo wewe kumuona mpenzi wako awe).
4.Umri.Hii huwatokea sana wasichana wanaoanza kujiingza ktk mapenz hadi kufikia miaka 28.Weng wao kutokana na umri mdogo hujihisi wana options nyng sn za kuw na mwanamme mwngne endapo mpenz aliyenaye ataachana nae.Minds zao haziwezi kulitunza penzi,kutunza penzi ni aghari sana.
Labda kwa ufupi nihitimishe kwamba mapenzi yanakuja tu yenyewe mwishowe unaoa/unaolewa na mtu yeyote yule kwa wakati huo.
Its difficult to plan and achieve 100% because mipango yako inategemea na matakwa na maamuzi ya mwingne.
When it comes to true Love it Happens very automatically
Unaweza panga vigezo vyako kabisa, Lakini yule utakaempenda kweli kutoka moyoni hutaangalia hivyo vigezo
Utajikuta upo in deep love na kusahau kabisa vigezo, na utajifariji kwamba utamfanya awe unavyotaka
Hny, pilau lipo tayari na firigisi uzipendazo; karibu mezani sweetie. Nisamehe kwa kuchelewesha msosi, majeans yako yamenichukua muda mrefu kufua!
Hellow, help me here please! Nimekuwa na changanywa hapa. Wengne nataka mume mweupe, oh nataka mke mwembamba, nataka niolewe na kipanga . . Mara hivi mara vile. Sasa swali ni je una~identified characteristics za mtu ndio 'unaamua kumpenda' au you happen to love her/him automatically without considering those qualities?
Hapo mbona kama kuna mambo yamechanganywa. Maana umetaja factors za kuangalia then mwishoni unasema yanakuja yenyewe!
And we want that Chemistry then! so it was automatic?
Hii ni hali inatokea mnapofanana either kwa vitendo au kufikiri.Mnavutana bila nyie kujua.Hujawahi kuona thread na post za aina flani ndo zinakuvutia?Au unaelewana na mtu au watu wa aina flan tu?Kazi ya maumbile hiyo!
Sometimes opposite attracts, someone to compliment you.
Where do u get this Madame x?