Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.Hiki kianduje kina roho mbaya sana kama mwenzake kibakuli wa tanzania
Wameshindana wameshindwa wamebaki majungu tu
Kibakuli kila siku utamsikia akisema kuna watu wana nunua viewers sijui yeye kashindwa nini kununua
Huyu adunje kabaki kudai team pinzani zinabebwa akiona mafanikioa ya mwenzake Ronaldo anaumia sana
With All Due Respect bro.. Wewe sio shabiki wa Messi, wewe ni kondoo wa Messi.Kweli kabisa, walibebwa michezo yote iliyopita.
Copa America ya mwaka huu ovyo sijapata kuona, na hata mesi mwenyewe kaliona na kulisema
Hiyo comment ya kibakuli umenichekesha mpaka nimepaliwa aah aah aah!Hiki kianduje kina roho mbaya sana kama mwenzake kibakuli wa tanzania
Wameshindana wameshindwa wamebaki majungu tu
Kibakuli kila siku utamsikia akisema kuna watu wana nunua viewers sijui yeye kashindwa nini kununua
Huyu adunje kabaki kudai team pinzani zinabebwa akiona mafanikioa ya mwenzake Ronaldo anaumia sana
Messi tokea alipoenda kumlilia Guadiola amuondoe Kikosini Ibrahimovic kisa tu anafunga magoli ambayo yanamfunika nilimuona ni mpumbavu kuliko na nilikuwa nawafahamisha watu hawanielewi nadhani kwa comment zake watu washajua andunje ni zero kabisa na ubongo wake uko miguuni
WIFI yake haifanyi kazi nje ya Barcelona na pale anataka wachezaji wote wasimpite na wakiwa na mpira wampasie yeye tu ukijifanya mbishi lazima uuzwe Mshahara tu hataki apitwe na mchezaji yeyoteNeymar mwenyewe kusepa kuna mengi pale.
Yule jamaa kageuka Mungu Barcelona ndio maana hataki kuhama
Kufutia "comments" alizozitoa mshambuliaji wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi,kwenye mchezo uliowakutanisha Argentina na Brasil, Kwenye mashindano ya COPA AMERICA chama cha soka kinachosimamia mashindano hayo kimemfungia Messi kuchezi mashindano yote yanayoshirikisha timu za Taifa kwa kipindi cha Miaka 2!Aidha adhabu hiyo Haita athiri mashindano yanaoandaliwa na FIFA.
Katika mchezo huo Argentina walikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Brazil waliokua wenyeji wa mashindano hayo,na ambao waliibuka mabingwa wa kombe hilo baada yakusubiri kwa miaka12!
Messi anakutana na adhabu hiyo huku akikumbwa na Nuksi yakushindwa kupata mafanikio katika timu hiyo ya Taifa, akiwa ameiongoza katika Fainali3 tofauti tofauti nahuku kushindwa kushinda ubingwa wowote..
Kauli alizozisema Messi nikua Brazil walibebwa katk mchezo huo huku akiwa tuhumu waamuzi kama ni"corrupt"
Mesi akihama timu yoyote na kiwango kina kufa kaabxaa
Ndio maana ameng’ang’ania hapo barcelona
Naimani hata yeye kashalifahamu hilo,bila barca messi hakuna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Messi kilichobaki kwake kuiletea Argentina kombe ni kuliiba Hilo kombe tuu, hakuna namna nyingine