pamoja_ushind
Member
- Oct 15, 2014
- 39
- 1
Anazungumza kama mwl Nyerere kiukweli kwa kujiamini sana. Bila shaka atakuwa mrithi bora wa Lowassa atakapoondoka madarakani.
Mwigulu kasema maji hayana mbadala kwahyo kama maji hayatapatikana mpaka mwakani itabidi mambo mengine yasimame na kuletwa maji. Inawezekana kwa mwenendo mzuri wa chama kwasasa.
Kwanini mpwa wangu? Au Jina la Lowassa ndio tatizo?
Nina hakika wangekuwa chama tofauti na chake lugha isingekuwa hiyo, ingekuwa ni tatizo la chama hicho. Kama wanavyosema walio nje ya chama chake!Anasema mwizi hana chama. Anaweza kuwa Chadema, Ccm au kabila lolote. Watu wasiihukumu CCM kwa ujambazi wa watu wachache.
Anasema mwizi hana chama. Anaweza kuwa Chadema, Ccm au kabila lolote. Watu wasiihukumu CCM kwa ujambazi wa watu wachache.
MACCM lazima wahukumiwe kwa sababu miaka nenda miaka rudi wanaendelea kuwakumbatia wexi na mafisadi hawa bila kuwachukulia hatua zozote zile ikiwemo kuwapandisha kizimbani. Kumbuka kauli ya Kikwete "Sasa tunalivua gamba" kumbuka mabilioni ya Uswiss mpaka lweo kimyaaa hata gaidi Mwigulu mwemyewe hatii neon. Kwanini anaikimbia hii issue ya mabilioni ya Uswiss!? Nchi haina pesa kwanini hafuatilii ili pesa hizi za wizi $529 million zirudishwe nchini na watuhumiwa wapandishwe kizimbani!? Anabwabwaja na kutoa povu tu huyu gaidi lakini hana lolote.
Ionwe pia na wapwa zangu: MANI Elli tpaul Eli79 zumbemkuu Chakaza bila kumsahau charminglady
Anawaomba Watanzania kutohadaika na vyama vya upinzani ambavyo vyenyewe vimeshindwa kujiongoza vyenyewe kwamba vitaweza kuliongoza taifa. Hakuna zaidi ya CCM inaynweza kuwafikisha watanzania katika maisha bora.
Hapana mimi sio mshabiki wa watu ni mshabiki wa mageuzi. Umenikera kumfananisha Mwigulu na Nyerere. That's is unfair
COMRADE ameongea mengi sana ya ujenzi na sasa anaelekea wilaya nyingine kwa ajili ya mashambulizi ya kuwashukuru watanzania kAKUENDELEA KUINGA MKONO CCM.
Huyu alikuwa Comrade tangu zamani alivyokuwa anawachachafya Chadema.
Mwigulu anazurira nchi nzima kama nani? Kwani kampeni zimeshaanza?
Utakuwa umesahau kwamba wakati akiwa Naibu Katibu mkuu wa CCM aliwatoa jasho CDM ikiwa hampumui mpaka majukumu yalipoongezeka ndio akapunguza kuwashuhulikia mpwa? Nyerere na Mwigulu wanana sana katika kupigania ustawi wa jamii ya Watanzania na wasio na tabia ya kujilimbikizia mali.