Ziara ya mwiguru muheza haina tija kwa ccm wala kwa wanamuheza kwakua hata alicho kiongea muheza hakina mantiki muheza nitagusia moja tu; amesema maji muheza yatapatikana kwenye bajeti kuu ya2015/16 kwakua zamani walikuwa wanategemea pesa za wahisani;lakini mwaka 2010 rais kikwete alipo kuwa anaomba kura muheza alisema ataleta maji muheza kabla ya muda wake wa uongozi kwisha,lakini rais kikwete mwaka 2014 uwanja wa jitegemee muheza alisema maji muheza hayatapatikana hadi mwaka 2016 je tumwamini nani?ccm hoi