Computerized accounting software.

Computerized accounting software.

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Habari zenu wadau wa Accountancy na wanataaluma wa softwares!!
Ninakuja kwenu na ombi lingine ili mnisaidie kama mlivyonisaidia katika mambo mengine. Ninataka kujifunza Computerized Accountancy, hivyo basi ninaomba kwa mwenye software nzuri katika fani hii anisaidie. Sina pesa ya kununua software hizi na p[ia ni kwa ajili ya kujifunzia tu.

Natanguliza shukurani, kama kutakuwa na post yenye ombi kama langu na ilishughulikiwa naomba thread hii iunganishwe tu.


Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom