Computer za bei rahisi

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
432
Reaction score
75
Tafadhali kwa anae fahamu sehemu ambayo naweza kupata laptop used kwa bei ndogo. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza hivo vifaa. Vile vile nitafurahi zaidi kama nitapata mtu ambaye ni mzoefu wa hii biashara ili anishauri zaidi.
 
Je kwa kuanzia unahitaji PC ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…