Computer specialist, naomba ufafanuzi katika hili

beka the boy

Senior Member
Nov 6, 2018
101
225
Ndugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na other stuffs katika local disc D!

===
Maoni yaliyotolewa
Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalam

User data including operating system zinatunzwa kwenye hard drive au SSD kwa newer models.

Uki Badilisha motherboard suppose motherboard unayoweka si same brand and model, operating system haitoweza kufanya kazi hivyo itakulazimu kufanya re-installing (kama motherboard utakayobali ni sawa na unayotoa OS itafanya kazi unless license issues suppose ulikua na genuine operating system)

Kwenye re-install ndio inaweza kuleta tatizo la kupoteza data kama huna utaalam sababu installation process inaweza kuhitaji ku format hard drive, kitu ambacho ukifanya ndio unafuata kila kilichopo kwenye hiyo disk

Hivyo Unachotakiwa kufanya ni kuepuka disk formating, otherwise all the best

Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
764
500
Ndugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na other stuffs katika local disc D!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalam

User data including operating system zinatunzwa kwenye hard drive au SSD kwa newer models.

Uki Badilisha motherboard suppose motherboard unayoweka si same brand and model, operating system haitoweza kufanya kazi hivyo itakulazimu kufanya re-installing (kama motherboard utakayobali ni sawa na unayotoa OS itafanya kazi unless license issues suppose ulikua na genuine operating system)

Kwenye re-install ndio inaweza kuleta tatizo la kupoteza data kama huna utaalam sababu installation process inaweza kuhitaji ku format hard drive, kitu ambacho ukifanya ndio unafuata kila kilichopo kwenye hiyo disk

Hivyo Unachotakiwa kufanya ni kuepuka disk formating, otherwise all the best

Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
 
beka the boy

Senior Member
Nov 6, 2018
101
225
Mzee hembu weka mambo yaeleweke.
Kwanza unazungumzia Computer mpakato au Desktop?
Oky ngoja tuseme ni desktop.

CPU si ndio computer yenyewe, ndio motherboard, kubadilisha housing hakuaathiri chochote,

Sasa wewe cpu yake nyingne unayozungumzia ni ipi?
nazungumzia laptop,,Alaf rekebisha hapo cpu sio motherboard mzee,,CPU is like a brain of motherboard...yaan ndio inayofanya command zote kwenye computer,,
Motherboard is just a connector yaan inaunganisha shughuli zote za pale kama power iwasiliane na screen inshort mawasilano yoyote yanafanywa na motherboard!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
beka the boy

Senior Member
Nov 6, 2018
101
225
Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalam

User data including operating system zinatunzwa kwenye hard drive au SSD kwa newer models.

Uki Badilisha motherboard suppose motherboard unayoweka si same brand and model, operating system haitoweza kufanya kazi hivyo itakulazimu kufanya re-installing (kama motherboard utakayobali ni sawa na unayotoa OS itafanya kazi unless license issues suppose ulikua na genuine operating system)

Kwenye re-install ndio inaweza kuleta tatizo la kupoteza data kama huna utaalam sababu installation process inaweza kuhitaji ku format hard drive, kitu ambacho ukifanya ndio unafuata kila kilichopo kwenye hiyo disk

Hivyo Unachotakiwa kufanya ni kuepuka disk formating, otherwise all the best

Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
Be blessed brother,,ninayotaka kuweka ni exactly the same as ninayotoa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,841
2,000
Ndugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na other stuffs katika local disc D!

===
Maoni yaliyotolewaSent using Jamii Forums mobile app
Kama ni Windows 10 ndio ulikuwa unatumia, hupotezi chochote...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom