Mimi ni mwanafunzi aliyemaliza elimu ya sekondari miezi michache iliyopita na ninateemea hivi karibuni kuingia chuo ni some CSE (Computer science and engeneering),swali ninalojiuliza sana ni kwamba je hii ni fani inayolipa vizuri hapa bongo au nninajidanganya tu.
shukrani zangu kwa wote watakao jibu swali hili...