Computer maintenance

Yusuph Wernery

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
316
147
Jaman mwenye ufahamu anisaidie.

Pc yangu Dell inspiration inatatizo la kufungua kitu ambacho haujafungua. Yaani ukiwa unafungua hiki kinafunguka kingine out of my intention. Nimejaribu kupiga window chini still tatizo lipo. Plz mwenye solution tafadhali keep me updates
 
nikuulize kwa mara nyingine ni pc au browser... usije kuchanganya mambo hapa!!!!
 
tatizo lipo kwenye mouse hilo... nenda karekebishe mouse ya pc hiyo..!!!!
 
Jaman mwenye ufahamu anisaidie.

Pc yangu Dell inspiration inatatizo la kufungua kitu ambacho haujafungua. Yaani ukiwa unafungua hiki kinafunguka kingine out of my intention. Nimejaribu kupiga window chini still tatizo lipo. Plz mwenye solution tafadhali keep me updates
Ni laptop au desktop?? Ingawa hapo tatizo linainekana lipo kwenye
1. Touchpad /mause- either right/left button ime kuwa holded au touch pad inashida chunguza vizuri au ifanyie usafi vizuri
2.keyboard -ingawa hapa si sana ila inawezekana kuna button ime kuwa holded fanya uchunguzi vizuri kwa vitu hivyo viwili
 
Ni laptop, ngoja nifanyie kazi maelezo yako

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Yap we fanya uchunguzi kila button kwenye keyboard iwe free kagua zote pia na Right na Left click button kwenye touch pad mouse ziwe free click zisiwe za kulazimisha ku click, then utaleta mrejesho kama ukikwama ili tukupe hits zaid maana hiyo ndiyo huduma ya kwanza kwa tatizo lako kabla ya kuanza kuipiga spana.
 
Jaman mwenye ufahamu anisaidie.

Pc yangu Dell inspiration inatatizo la kufungua kitu ambacho haujafungua. Yaani ukiwa unafungua hiki kinafunguka kingine out of my intention. Nimejaribu kupiga window chini still tatizo lipo. Plz mwenye solution tafadhali keep me updates
Jaman mwenye ufahamu anisaidie.

Pc yangu Dell inspiration inatatizo la kufungua kitu ambacho haujafungua. Yaani ukiwa unafungua hiki kinafunguka kingine out of my intention. Nimejaribu kupiga window chini still tatizo lipo. Plz mwenye solution tafadhali keep me updates
Ni screen touch??
 
Back
Top Bottom