Wadau computer yangu ni aina ya Dell ina RAM 4GB na Local disc space ni 300GB... Mpaka sasa nina documents za GB 1 tu!!!! ila kila program ninayotaka kuitumia computer inakuwa nzito sana..
Inachukua muda mrefu kuzimika na Muda mwingine inaandika "Program not responding" . Sijui tatizo ni nini, nimewahi kufuta kila kitu ila tatizo limebaki palepale , Please nahitaji msaada wenu.
Asante.