Hebu right click hapo kwenye saa..kisha click adjust Date &Time
angalia hapo kwenye time zone umeset mji gani? inatakiwa kuwa Nairobi au mji mwingine wowote ambao majira yake ni (GMT +03:00)
Kama ipo sawa....basi huenda CMOS battery imeisha nguvu ni ya kubadilisha!!