Computer inagoma kusoma flash naomba msaada

Computer inagoma kusoma flash naomba msaada

Yahya Asaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
244
Reaction score
28
Habari za mudahu wana JF.

Natumia pc lkn chakushangaza kuanzi juzi imenza kuleta shida, Nimejaribu kulitatua mwenyewe lakin imeshindikana sasa naomba msada wenu
Nikichomeka flash kwenye pc haifunguki na nikiifungua inaleta ujumbe huu,
"This operation has been cancelled due to restrictions in effect on this computer. please contact your system administrator"

Natanguliza shukrani
 
Chomeka hiyo Flash then restart Pc ikiwaka jaribu kuifungua tena
 
cheki driver inayoitwa universall serial buss ndiyo inayohusika na usb kama imemisi iupdate hiyo
 
Bado ugonjwa upo pale pale
Nimefanya yote hayo
Plz help
 
Hicho ni kirusi huwa kinasumbua kishenzi na hakitoki kirahisi kwa antivirus, piga backup ya data zako then format pc kwa window mpya. Alternative option bado sijaipata ila kuna pc tatu ziliambukizana wiki iliyopita kwa kirusi hicho nikaamua kupiga chini mashine zote
 
Back
Top Bottom