Bonyeza fn key kwenye keyboard alafu utaona juu ya screen itadisplay function keys mbalimbali angalia iliyoandikwa touchpad alafu ubonyeze iyo function key itarudia katika hali yake ya kawaida
kuna ka key flan hivi kana alama kama ya mouse....sasa wewe bonyeza fn na hiyo key kwa pamoja...ikigoma jaribu kutumia combinations mbalimbali za ctrl, alt, shift na hiyo key itakubali tu!!!