Computer-generated imagery (CGI)

"
Katika picha ya dunia mpka leo haifaamiki ilipigwa pigwaje na kwa umbali upi mpka kuleta muonekano huo la hasha hii picha si ya kweli na kuna uwezekano hakuna anaefahamu umbo la dunia liko vipi...."
Mwisho wa kunukuu
......
Ndomana mrusi uwezi mkuta anaropoka dunia ni duara (tufe) na ndiye wa kwanza kulaunch chombo cha anga za mbali.
 
OK, tukubali wewe ndio uko sahihi mheshimiwa
 
Hapa mwezi wanaoudai uko kama mwamba fulani hivi au jiwe na si kichanga... awa watu hawa daah
 
Walipotua sasa eti mchanga halafu huu mwanga unaowamulika ni taa kabisa huu ndio maana mrusi aliwaaambia walikuwa jangwani na sio mwezini..
 
Hii wanayoita milk way hii walipiga piga vipi hii pichaa hii ni kitu ambacho akiingii akilini kabisa....yaani camera ivuke wanazodai sayari cjui ifike mpka hukoo???
 
kuna picha chache zimepigwa na watu wakiwa mount evarest, zinaonyesha kabisa dunia ipo spherical
 
Kama umepita shule
Kuna aina tofauti za satellite mzee
Kuna hizo polar na non polar
Non polar huzunguka dunia kufuata equator hivyo wazi hutaona kwa urahisi lile bara ambalo liko kulee juu kabisa
Maybe kama unataka kupata picha za hilo bara nenda huko wiki katafut picha za polar satellite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…