Kuna kampuni inataka kufanya incubation kwa vijana kama 20 sasa wanahitaji chuo kinatoa hizo courseKibongo bongo HAKUNA unless kama unataka kupata 'notes'. Course contents ya hivyo ulivyohitaji unaweza kupata / kusoma kupitia Mitandao mbali mbali ya kimasomo kama vile edX n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha,kwa kweliunless kama unataka kupata 'notes'
may be Masood na Prf,Msele wamekariri sana hao wazeeeNenda Kitivo cha CIVE-UDOM, onana na jamaa anaitwa Mwombeki(ni lecturer) , shida zako zitaishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganye UDOM hawafundishi hizo mamboNenda Kitivo cha CIVE-UDOM, onana na jamaa anaitwa Mwombeki(ni lecturer) , shida zako zitaishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu someni vizuri post yangu mimi sijawahi kusoma Computer zaidi ya kutumia excel na word nitakaje tena notes za AI na MR
Artificial intelligence ipo Udsm ni optional course pale CoICT na CoET pia ipo ndani ya kozi mojawapoWakuu nawapa heshima iliyotukuka kabisa.
Binafsi naelewa sana mchango wenu kwenye huu ulimwengu japo bongo inaonekana mnasinzia sana.
Swali la leo.
1. Chuo gani bongo kinafundisha Artificial Inteligence (AI) and Machine Learning kuna mdau kutoka nchi za duniani huko kaniuliza hilo swali na kaomba nimsaidie kutafuta taarifa.
2. Naweza pata wapi course contents ya hizo course (Mwenye nayo atupie hapa).
Mwisho: Hii ni fursa kubwa sana huenda ikawashukia so tuchangamke kuleta data hapa za kweli.
Karibuni
Mosoud kwa sasa yupo DIT hayupo tena UDOMmay be Masood na Prf,Msele wamekariri sana hao wazeee
Asante mkuu ni kweli kuna mdau niliwasiliana nae moja kwa moja UDSM alinipa ABCs so nafanya kazi ya kupata course contents walizo nazo ili jamaa wazipate. Elimu yetu ya sasa ni ya miaka 200 iliyopita. Kwa taarifa za chini chini nimesikia jamaa wametafuta Rwanda kama nchi mbadala maana TZ inaonekana bado tuko usingizini. As im talking jamaa walisha pata approval kule ya kwenda kufanya shughuli zao ila hapa kupata course contents nimeambiwa niandike barua ipite wizara ya Elimu. Frankly speaking niko katikati ya kuach au kuendelea na mchakato.Artificial intelligence ipo Udsm ni optional course pale CoICT na CoET pia ipo ndani ya kozi mojawapo
Artificial intelligence techniques
1. Genetic algorithm (GAs)
2. Artificial Neural networks(ANNs)
3. Fuzzy logics(FLs)
Artificial intelligence applications
1. Machine learning e.g. intelligent softwares(Google, Amazon AIs), cryptocurrency etc
2. Control systems (Robotics and Automation)
3. Embedded systems e.g consumer electronics, etc
Labda Kama sijakupata vizuri kwamba unauliza standalone kozi ya artificial intelligence & machine learning au hata ikiwa embedded inside kozi nyingine!
Kwa Dunia ya leo hizi ilibidi kuwa main course kwa watu wanaosoma computer kwa ninavofikiri japo sina ABCs za hizi mambo ila miaka ingerudi nyuma basi ningefanya computer science sema subiri niendelee na kilimo changuKwanza ahsante kwa kuleta hili bandiko mkuu. Kwa upande wangu sikubahatika kupitia hivi vyuo vyetu lakini kwa haraka haraka mitaala yao haiendi na wakati (mara nyingi). Artificial Intelligent, Machine Learning, Robotics, Mobile Apps ni maendeleo ya hivi karibuni na muelekeo wa IT kwa sasa. Inaweza kuwa vigumu kupata mitaala kwenye hivi vyuo.
Lakini bahati nzuri, kutokana na elimu ya mtandao kurahisishwa na kuboreshwa, wanaweza wakafanikiwa lengo lao hata kama vijana watasoma kwa njia ya mtandao. Naomba wape huo ushauri.
Mkuu nafikiri baadhi wana knowledge ya AI swala ni kwamba walikosa sehemu ya kuapply hiyo knowledge hasa ukiangalia tech yetu bado nyuma. Ukiwaamsha vijana kwamba kuna nini huko wataamka wengi..Asante mkuu ni kweli kuna mdau niliwasiliana nae moja kwa moja UDSM alinipa ABCs so nafanya kazi ya kupata course contents walizo nazo ili jamaa wazipate. Elimu yetu ya sasa ni ya miaka 200 iliyopita. Kwa taarifa za chini chini nimesikia jamaa wametafuta Rwanda kama nchi mbadala maana TZ inaonekana bado tuko usingizini. As im talking jamaa walisha pata approval kule ya kwenda kufanya shughuli zao ila hapa kupata course contents nimeambiwa niandike barua ipite wizara ya Elimu. Frankly speaking niko katikati ya kuach au kuendelea na mchakato.
Kwa Dunia ya leo hizi ilibidi kuwa main course kwa watu wanaosoma computer kwa ninavofikiri japo sina ABCs za hizi mambo ila miaka ingerudi nyuma basi ningefanya computer science sema subiri niendelee na kilimo changu
hahahhaha we jamaa bhanamay be Masood na Prf,Msele wamekariri sana hao wazeee