Petabyte186
Member
- Jul 10, 2017
- 91
- 36
Nimewaita mkuu ila hii mada yako ungeiweka kule jukwaa la technolojia ingekua poa zaidi...
Unaihamisha vp mkuuNimewaita mkuu ila hii mada yako ungeiweka kule jukwaa la technolojia ingekua poa zaidi...
Sehemu ya kuanzia ni maonyesho ya vyuo vikuu na workshorps za ma-engineer. Kuna platforms za wahandisi wa kike na young engineers wengine. Tafuta contacts za wanafunzi wa mwaka wa mwisho vyuon wao wanaweza kujua mambo hayo yanafanyika wapi na lini.Habari wana JF.
Natakuwa kujuwa vp computer engineer tanzania inafanya kazi sehemu zipi.?
Na napenda kujuwa idadi au projects zilizofanywa na computer engineers Katika Universities tofauti za Tanzania.
Naombeni msada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Industry ya ICT kwa Tanzania bado ni changa sana na hivyo bado haina specialization kubwa mahali pa kazi. Si ajabu kukuta mtu aliyesomea Telecommunications Eng. akawa web designer (au akaambiwa adesign web). Hata hivyo Computer Engineering inapaswa kuegemea kwenye maintenance, upgrade, design na programming(low-level) ya Computer Hardware.Habari wana JF.
Natakuwa kujuwa vp computer engineer tanzania inafanya kazi sehemu zipi.?
Na napenda kujuwa idadi au projects zilizofanywa na computer engineers Katika Universities tofauti za Tanzania.
Naombeni msada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Industry ya ICT kwa Tanzania bado ni changa sana na hivyo bado haina specialization kubwa mahali pa kazi. Si ajabu kukuta mtu aliyesomea Telecommunications Eng. akawa web designer (au akaambiwa adesign web). Hata hivyo Computer Engineering inapaswa kuegemea kwenye maintenance, upgrade, design na programming(low-level) ya Computer Hardware.
So project zao zina mrengo wa hardware automation, sensing, alarm systems, communications,etc. Kazi zaweza kuwa Network Design, Network Installation, Network Administration, Telecommunications, etc.
Well said,hii course ni pana kidogo kuliko computer science, utasoma automation & robotics,utasoma software development,utasoma network utasoma graphics yani ni pana mno so ni wewe kuchagua ustick sehem gani manake nchini mwetu hatuna sehem maalum ya kuapply those knowledge ndo maana kwenye soko la ajira aliesoma comp eng,comp science,IT,ICT are groupes as one.Industry ya ICT kwa Tanzania bado ni changa sana na hivyo bado haina specialization kubwa mahali pa kazi. Si ajabu kukuta mtu aliyesomea Telecommunications Eng. akawa web designer (au akaambiwa adesign web). Hata hivyo Computer Engineering inapaswa kuegemea kwenye maintenance, upgrade, design na programming(low-level) ya Computer Hardware.
So project zao zina mrengo wa hardware automation, sensing, alarm systems, communications,etc. Kazi zaweza kuwa Network Design, Network Installation, Network Administration, Telecommunications, etc.