Computer Engineering ina soko Tanzania?

Computer Engineering ina soko Tanzania?

Asalam alaikum.
Kama ilivyo topic hapo juu. Naomba kuuliza Vp computer Engineer Tanzania ina Soko. Na kama ina soko kazi zao ni zip na zipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soko lipo tena kubwa tu! Kazi kubwa zipo kwenye Viwanda karibuni vyote kutokana na Robotics and Automations systems!pia ina uwigo mkubwa ktk kujiajiri
 
Back
Top Bottom