malulu.makubi
Member
- Mar 23, 2012
- 29
- 9
Samahani wana JF, nina computer hiyo hapo juu. Tatizo lake ni kwamba hai boot. Ukiiwasha ina blink (rangi ya njano). Inatakiwa njano then green. I have cheked RAM, power supply, HDD, they are all okay. Nitashukuru sana kwa msaada maana nina tatizo kama hili kwenye computer kama 3. Natanguliza shukran