Computer black screen inasababishwa na nini???????

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Hilo tatizo ni common sana kwa laptop nyingi,ila maranyingi huwa linanipa tabu kwenye kulitatua,naomba mnipe somo kidogo juu ya hili, kuna upande mmoja unakuta fan inawaka kidogo theninakata na upande mwingine unakuta fan inawaka vizuri tu but still kunakuwa na blaq screen.

Pia kuna matatizo mengine mawili ningependa kusaidiwa;
1. Computer inawaka but mwanga wa screen mdogo sana kiasi kwamba huwezi kuona kinachoendelea,mwanga unakuwa kwa mbali sana.

2. Computer ukiweka cd ya window kwa ajili ya kuiformat inafika mahali katikati ya safari inaload bila kumaliza

**Naombeni somo kwa hayo matatizo yote
 

Bila kuelezea vizuri tatizo inakuwa vigumu kukusaidia, computer fans are made to come on and off when needed(depending on how hot the system runs) kwahiyo hilo sio tatizo.. kama fan imekufa itakuwa haiwaki or haizimiki or it may be complicated...
hayo mengine tueleze ilikuwaje kuwaje mpaka ikaanza kufanya hivyo, na uangalie kama cd yako ya OS ni nzima...
 

kawaida ikiwashwa inatakiwa iendelee kuzunguka hadi process ya kuboot iishe,ila yenyewe inakata kabla hata booting haijaisha
 
Kuhusu mwanga kuwa mdogo je umejaribu kuuongeza? km hauongezeki Inverter imekufa au LCD yenyewe ndo inaaga. CD kutomalizia kuload inaweza ikawa hiyo CD mbaya "scratched" au HDD imechoka kazi.
 
Kuhusu mwanga kuwa mdogo je umejaribu kuuongeza? km hauongezeki Inverter imekufa au LCD yenyewe ndo inaaga. CD kutomalizia kuload inaweza ikawa hiyo CD mbaya "scratched" au HDD imechoka kazi.

Yaani ni kwamba ukiiwasha inaone ile logo ya hp kwa mbaali,theni inapotea inakuja black screen huku fan inaendelea kuzunguka
 
Kuhusu mwanga kuwa mdogo je umejaribu kuuongeza? km hauongezeki Inverter imekufa au LCD yenyewe ndo inaaga. CD kutomalizia kuload inaweza ikawa hiyo CD mbaya "scratched" au HDD imechoka kazi.

Kuhusu CD nimejaribu 3 tofauti but tatizo bado liko palepale
 
Umeeleza zaidi ya tatizo moja:
  • Fan
  • OS CD failure
  • LCD/Back lights Failure
tatizo la FAN huwa imetengenezwa kuwa controlled na CPU baada ya kudectect some amount of heat released from the CPU sink. inamaana imetengenezwa kufanya kazi automatic sio kufanya kazi full time. vile vile kama fan ingekuwa na tatizo basi PC yako kwa hakika isingewaka kabisa wa kufahamu mfumo wa current flow on the mobo.
OS CD failure au kutomaliza loading inawezekana kabisa kwamba cd ina scratch hilo nadhani wajua chakufanya juu yake. ni kutafuta CD yingine ya OS na kujaribu au HDD cylinders zinashida au HDD head.
LCD BACK LIGHTS inaweza fibers zikawa aimelegea au kukatika unaweza kulihakiki hili au jaribu kuongeza mwanga manually au LCD ndo kwaheri.:horn:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…