Asante Binti.com a.k.a Ciello!, baeleze baelewe!.Nani mwenye shida na hayo ma-desk top siku hizi, kitu laptop bwana.
Nimekuwa Ciello tena jamani!!! Mimi ni mtawa wakati Ciello siyo.Asante Binti.com a.k.a Ciello!, baeleze baelewe!.
Nani mwenye shida na hayo ma-desk top siku hizi, kitu laptop bwana.
Wewe ni mtawa yupi kati ya hawa watawa wa kisasa ambao wameingia utawa baada ya kunahiniwa sana na hata sasa ndio wanaowahudumia mapadiri wazin.. au wewe ni wale watawa wa kizamani, ambao wao walikuwa wanaingia utawa kabla bado?.Nimekuwa Ciello tena jamani!!! Mimi ni mtawa wakati Ciello siyo.
Mimi ni hybrid ya kizamani na kisasa. Mengine utajaza mwenyewe.Wewe ni mtawa yupi kati ya hawa watawa wa kisasa ambao wameingia utawa baada ya kunahiniwa sana na hata sasa ndio wanaowahudumia mapadiri wazin.. au wewe ni wale watawa wa kizamani, ambao wao walikuwa wanaingia utawa kabla bado?.
Nimejaza, ila pia na mimi ni pasta wa hizi imani mpya za kisasa za wokovu, uwezo na unajiri, siku mambo yakikuendea kombo huko kwenye "convert" njoo nitakupatia "baraka" kwa njia za kisasa mfano kuna mwanamke mmoja mke wa mtu, alipatiwa baraka na "mtume na nabii" fulani, akajikuta amemshawishi mumewe kumkatia "nabii" pande la kiwanja chao ili wawe majirani, nabii ajenge pale mibaraka iendelee kutirirka kwa ukaribu!.Mimi ni hybrid ya kizamani na kisasa. Mengine utajaza mwenyewe.