Compressor inahitajika haraka

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
mining compressor ya two pipes aina ya atlas au nyingine ambayyo ni nzima kabisa inayofanya kazi inahitajika haraka sana, kwa mwenye nayo tafadhari tuwasiliane Kwenye PM tufanye biashara
 
Zipo mbili mkuu atlas copco. Tena zipo kwenye hali nzuri sanaaa. Upo mkoa gani?
 
0768631773 mpigie jamaa anaitwa Nicco,yuko mwanza,anamiliki hizo compressor.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom