Eiyer una alergy na karanga? au kambale?
ushawahi kuona mtu aliyepata side effects za blood transfusion?
sikuhizi watu wengine tunakula dozi za malaria mara mbilimbili. kutakuwa na nguvu ya ziada kwa wanaopona mara moja sio?
mimi nina sinusitus. nikaambiwa a daktari, tukiwaweka watu fit kabisa kwenye chumba ambacho hakina hewa, wewe utazimia wa kwanza. kutakuwa na nguvu za ziasa sio?
watoto huwa wanaanza kuongea/kutambaa/kutembea katika muda tofauti. kutakuwa na nguvu za ziada sio?
kuna wanariadha walikimbia from Dar to Moro. wamefika, wamekunywa maji, mmoja akafa right after. kutakuwa ba nguvu ya ziada.
kuna wamama hawasikiagi uchungu wakati wa labour.
etc etc
kwakweli kumuingiza Mungu on such medical issues shows Ignorance...and too much faith....hata Yesu alisema imani kama mbegu ya haladari tu inatosha kuamsha mlima.
but i'll leave u guys to it..
Aisee .......
Hebu slow down kwanza maana naona una speed sana na unataka kuandika mambo mengi sana kwa wakati mmoja
Nilichokiandika hujakielewa na huenda ni kwasababu hujajua msingi wa kilichonifanya niandike,nilichoandika nimeandika kutokana na swali ambalo limeulizwa na sijaona mtu akilijibu
Nafahamu kuwa watu wanaweza kutopona ugonjwa unaofanana kwasababu tofauti tofauti kama vile kuchelewa kutibiwa au kupata dawa tofauti n.k
Lakini swali lililoulizwa ni tofauti sana kwani linazungumzia watu wa ugonjwa ule ule na mazingira yote ya maradhi yanafanana na wote walitinbiwa na daktari mmoja kwenye mazingira yale yale
Kwa kifupi vitu vyote vimefanana kwenye kesi zote mbili lakini mmoja anapona na mwingine anakufa
Hapo ndipo tunahoji sababu,hakuna aliyejibu hili kisayansi tofauti na kupiga kelele tu hapa
Mifano yako uliyotoa ya watu na watoto sijui wanaotambaa au wanariadha haifai kwenye aina ya swali lililoulizwa!
Kama unaamini kwamba Mungu hayupo na Daktari ndio mwisho wa mambo yote, kwa nini wagonjwa wengine wasipone, wengine wapone, wengine wafe na wengine wasife?
Huo uponyaji kwa nini uwe na mashaka ndani yake?,kwamba inawezekana kufa ama kupona?.Kwa nini basi aache watu wafe na wengine wapone?.Yule anayekufa anatofauti gani na aliyepona kwa mtazamo wako?Nikiumwa ntaenda hospitali kutibiwa lakini bado nna amini kwamba Mungu anawatumia madaktari kuleta uponyaji kwangu.
mimi nimeona inafaa....the point is behind every medical issue, there is a great history.
"watu wa
ugonjwa ule ule na mazingira yote ya
maradhi yanafanana na wote
walitinbiwa na daktari mmoja kwenye
mazingira yale yale"
una maanisha nini mazingira ya maradhi?
still, hali ya kuwa na wagonjwa wawili wenye hostoria EXACTLY ileile prior to the sickness is too ideal....
hawawezi kuwa na kazi ileile (eg. mkulima na accountant), economic status ileile physical fitness ileile, nutrition ileile, imani ile ile, walikunywa dawa zilizile kabla ya kumwona daktari, emotional state ileile, social life ileile etc. all those play great part in one's physical and mental health and recovery process.
inakuwaje mtu unatoa mfano wa namna hiyo??
Unanilaumu mimi kwa kuwa na jambo ambalo umesema ni la ki fikra zaidi
Lakini na wewe unaendelea kufanya jambo lile lile ambalo umelipinga kwangu kwa kusema "hawawezi" hivi au "hawawezi" au vile bila kusema ni kwanini haiwezekani na kuleta ushahidi wa kutokuwezekana jambo linalokufanya na wewe uingine kwenye ishu ile ile ya kifikra zaidi
Nikuulize,inakuwaje unatoa maelezo ya namna hiyo yasiyokuwa na ushahidi wa kuonesha kuwa nimekosea?
Kwanini jambo lisijirudie hivyo hivyo?
Mi nakupa ushahidi wa watu wawili kufanya mambo yanayofanana: William Shao: Wanaotaka kuona yaliyofichika
Haya wewe ushahidi wako uko wapi?
*sigh*
we are talking about medical issues nawe unaingiza siasa. fine. how many such cases za kennedy na Lincoln?
ungetoa mfano wa wagonjwa wawili waliokuwa na the exact history (mental, physical and socio-economic) wakafanyiwa operation mmoja akafa, ingekuwa bora zaidi. na mfano mmoja kweli?? wakati maelfu wanakufa?
nilichosema si cha kufikirika wala sioni haja ya kutoa mfano because what i said was self evident. its normal to get different reactions to different medical procedure because WE ARE ALL DIFFERENT.
naona pia mmenda mbali kwenye surgeries. mngebaki tu kwenye pain killers. wengine wanapoa wengine hawapoi. it must be God somehow.
tunaweza tukaenda mbali zaidi na kuulizana, kifo ni ubongo kukosa oxygen au ni roho kutoka??
we will get nowhere
The issue is still the same. Why do you want exhibits of God's existence?
kama Mungu ndio nguvu ya mwisho, mbona wengine wapone na wengine wasipone? utasemaje? kuna nguvu ya juu kuliko Mungu?
mtu hajui kwanini mgonjwa huyu wa malaria kafa na yule kapona. so anasema ni Mungu.
Hivi tuna tofauti gani na watu wa kale walioamini kuwa vilema walikuwa wameadhibiwa na Mungu?
Dah. Hii thread imenishangaza kweli.
Kwa maana nyingine unamaanisha mungu ndiye anayeamua huyu afe na huyu asife?.
Huo uponyaji kwa nini uwe na mashaka ndani yake?,kwamba inawezekana kufa ama kupona?.Kwa nini basi aache watu wafe na wengine wapone?.Yule anayekufa anatofauti gani na aliyepona kwa mtazamo wako?
*sigh*
we are talking about medical issues nawe unaingiza siasa. fine. how many such cases za kennedy na Lincoln?
ungetoa mfano wa wagonjwa wawili waliokuwa na the exact history (mental, physical and socio-economic) wakafanyiwa operation mmoja akafa, ingekuwa bora zaidi. na mfano mmoja kweli?? wakati maelfu wanakufa?
nilichosema si cha kufikirika wala sioni haja ya kutoa mfano because what i said was self evident. its normal to get different reactions to different medical procedure because WE ARE ALL DIFFERENT.
naona pia mmenda mbali kwenye surgeries. mngebaki tu kwenye pain killers. wengine wanapoa wengine hawapoi. it must be God somehow.
tunaweza tukaenda mbali zaidi na kuulizana, kifo ni ubongo kukosa oxygen au ni roho kutoka??
we will get nowhere
Kwa hiyo kifo kiliwekwa na mungu?.Ama ilikuwa adhabu?.Ingekuwa vipi Adam na hawa wasingekosa mbele za mungu?.Nionyeshe kwenye Biblia sehemu inayoelezea kwamba tutaishi duniani milele bila vifo wala magonjwa.
Kama kila kitu ni kwa mpangilio wake basi hata mateso,magonjwa,umaskini,vifo ni mpango wake pia.Je huyu si ndio mungu wa upendo?upendo uko wapi katika hii dunia ilojaa maovu?Kwa sababu naona hicho cha watu kufa au kuugua wakati Mungu yupo kinakufanya usahau kwamba vitu vinaenda kwa mpangilio wake,
We si umeshasema kila kitu anapanga yeye?.Kwa hiyo tujue kwamba maovu pia ni mpango wa mungu.kama kuna mahali umewahi kuona Mungu ametoa ahadi ya kuishi bila kufa au kuugua hapa duniani, naomba uniwekee hapa mkuu.
Sijasema madaktar wana uwezo 100%,lakini inaonekana uwezo wa mungu wako ni pale daktar anaposhindwa kuzuia kifo.Pale mgonjwa anapokufa ndipo mungu anaonekana kutenda kazi yake!.Kama haipo ina maana mtu kufa au kuugua kwa Mungu sio kitu cha ajabu. Kwa nini kiwe kitu cha kushangaza kwako.
Na ningetegemea kwa sababu Madaktari ndio wenye uwezo wote na wa mwisho kuhusu mgonjwa suala la kupona liwe 100% na pasiwe na kumtaja Mungu.
Sio lazima madaktar waamini hakuna mungu.Unaongeleaje madaktari wacha Mungu ambao, pamoja na kazi nzuri wanayoifanya bado wanaamini kwamba kuna nguvu kuu iliyo juu ya uwezo wao. Shukran
Lakini mimi nazungumzia jambo ambalo wagonjwa wote wawili wanafanana kwa kila kitu na mfano nimekupa ambao wewe uliniambia nikupe na ulidai mfano wa mambo kufanana bila kusema ni aina gani ya mambi hayo
Nakushangaa sasa unabadilika!
.........
Sijasema madaktar wana uwezo 100%,lakini inaonekana uwezo wa mungu wako ni pale daktar anaposhindwa kuzuia kifo.Pale mgonjwa anapokufa ndipo mungu anaonekana kutenda kazi yake!.....
Yaaani unapingana hadi na mleta thread, aliyesema kwamba anashangazwa na watu kumshukuru Mungu pale mgonjwa anapopona badala ya daktari aliyefanya kazi yake vizuri na inayoonekana na kila mtu. Sasa kama unasema uwezo wa Mungu unaonekana pale mgonjwa anapokufa hii thread ina maana gani?
Na log off.
Yaaani unapingana hadi na mleta thread, aliyesema kwamba anashangazwa na watu kumshukuru Mungu pale mgonjwa anapopona badala ya daktari aliyefanya kazi yake vizuri na inayoonekana na kila mtu. Sasa kama unasema uwezo wa Mungu unaonekana pale mgonjwa anapokufa hii thread ina maana gani?
Na log off.