Hahaha! wala sio kigumu niliskia wauza matunda wakielekezana sokoni Kariakoo 'kiingereza sio kigumu unaongeza 'S' tu kinakuwa kiingereza kama machungwa yanakuwa machungwas' hahaha!Jamani Ki english kweli kigumu.
Ahahahaaah!! Maembe's du!!Hahaha! wala sio kigumu niliskia wauza matunda wakielekezana sokoni Kariakoo 'kiingereza sio kigumu unaongeza 'S' tu kinakuwa kiingereza kama machungwa yanakuwa machungwas' hahaha!
Ahahahaaah!! Maembe's du!!
Hahaha! wala sio kigumu niliskia wauza matunda wakielekezana sokoni Kariakoo 'kiingereza sio kigumu unaongeza 'S' tu kinakuwa kiingereza kama machungwa yanakuwa machungwas' hahaha!
Hahaha! wala sio kigumu niliskia wauza matunda wakielekezana sokoni Kariakoo 'kiingereza sio kigumu unaongeza 'S' tu kinakuwa kiingereza kama machungwa yanakuwa machungwas' hahaha!
Kiinglishi ni rahisi ukitaka kukitema vizuri simpo jasti legeza meno kaza ulimi kinatoka kama maporomoko!