Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
Mabibi na mabwana leo hii nawaomba tulinganishe website za serikali katika jumuia yetu hii ya Africa mashariki, hususani mahasimu hawa wawili Tanzania na Kenya.
Tukianza na Portal za Serikali
Upande wa Tanzania inaenda kwa jina la Tovuti Kuu ya Serikali: Welcome
Ipo secured yaaani https.
Mwonekano wake ni kama ifuatavyo:
Kwa upande wa kenya imepewa jina la http://www.mygov.go.ke/
Haipo secured yaan ni http:
Mwonekano wake ni huu:
Kwanza kabisa ninaomba tujadili mwonekano na upatikanaji wa taarifa kwa uharaka.
Website ya serikali ya Tanzania ipo na Lugha mbili yaani Kiswahili na Kingereza, wakati Website ya kenya yenyewe ipo na Lugha moja tu.
Baada ya kuona Portal tutaenda wizara, Mamlaka, Idara nk kuona je tunaendaje katika jumuia yetu hii ya Africa Mashariki.
Karibuni sana ninaomba tuwe tunaweka na picha za website zeneyewe kwa matumizi ya baadaye.