Mhhhh wote vicheche tu hapo hakuna nafuu wala hafadhari m1 sumni na mwingine senti hamsini walewaleeeeee.....Muulize FA atakwambie huyo Jokeri na Huyo Kind Spade hela yako tu hana nomaaaa.

Ni vema kumshauri huyu dogo "diamond" umaarufu wa kuhondomola sio inua mjengo maeneo yenye umaarufu hapa Dar tutakuona mkali, vinginevyo ni ushamba tu!