Compare and Contrast


Hii inaitwa tag of war
 
Ungetuekea tahadhari wengine tunaogopa sana hao viumbe

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Thank you so much katika viumbe, nyoka nawapenda saaaanaaa naanza kufuga pindi ntapopata kibali especially huyo mweupe na white/ brown woooow
 
Ungetuekea tahadhari wengine tunaogopa sana hao viumbe

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
pole!tatizo wengine ukiweka tahadhari ndo wanakuja kwa wingi!!
 
Thank you so much katika viumbe, nyoka nawapenda saaaanaaa naanza kufuga pindi ntapopata kibali especially huyo mweupe na white/ brown woooow
unawapenda!?aiss unapenda hatari kiongozi,mzee mmoja kijijini kwetu alipoteza maisha baada ya kung'atwa na nyika wake mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…