Company registration

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
149
Habari wadauπŸ™‚

Naomba kwa mwenye contact za mtu yeyote aneshugulikia company registration au ana ufahamu wa mambo ya ku register an export company awe dar anisadie contacts zake (nitumie pm please)!

Many thanks wadau.
 
Mkuu, hata kama yupo Mkoani bado waweza kufanyiwa tu.
 
Habari wadauπŸ™‚

Naomba kwa mwenye contact za mtu yeyote aneshugulikia company registration au ana ufahamu wa mambo ya ku register an export company awe dar anisadie contacts zake (nitumie pm please)!

Many thanks wadau.

mtafute 0719206920 aliwahi kumsaidia rafiki yangu
 
yaelekea unawafahamu watu wengi best?

Hahahaaa... Kwanini?
Anyway kama nimefanya kazi na mtu au nina mahusiano mazuri nahuyo mtu kwanini nisimkubuke kwenye mambo yanayohusu field yake?
Si kama wewe tu, mtu akitaka kazi za mapambo, cakes, printing etc kwanini nisikuite?
 
asante mkuu kwani unaonesha unatujali sote

uendelee namoyo huohuo nakutakia siku jema
Hahahaaa... Kwanini?
Anyway kama nimefanya kazi na mtu au nina mahusiano mazuri nahuyo mtu kwanini nisimkubuke kwenye mambo yanayohusu field yake?
Si kama wewe tu, mtu akitaka kazi za mapambo, cakes, printing etc kwanini nisikuite?
 
Amtafute Singo;
Mtumie PM amesema kuwa haoni quotation.
 
Last edited by a moderator:
Habari wadauπŸ™‚

Naomba kwa mwenye contact za mtu yeyote aneshugulikia company registration au ana ufahamu wa mambo ya ku register an export company awe dar anisadie contacts zake (nitumie pm please)!

Many thanks wadau.
wasiliana nami kwa hii namba yangu 0712 74 22 33
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…