Umetenga kiasi gani kwa ajili ya kampani?
jinsia yake inahusu nini kwani kasema anataka kufanya?uliza jinsia kwanza unawaza shs tu kichwani
Umetenga kiasi gani kwa ajili ya kampani?
jinsia yake inahusu nini kwani kasema anataka kufanya?
hana hata ndururu, angekuwa nayo angejichanganya popote.
looh hilo meno ndururu nimelisikia zamani sana
nimekukumbusha
yeaaaaaa
hiyo picha ya mdogo wako nini?
ya kwangu
Tatizo watu wamekariri ukitolewa out lazma iwe jinsia tofautianataka kufanya HESABU