Company kipindi cha Pasaka - Zanzibar

Kuwa mwanamke raha sana!πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Hizo siku nne mnafanya nini?
Ungeweka yatakayofanyika ili kupunguza maswali huko PM
 
Kuwa mwanamke raha sana!πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Hizo siku nne mnafanya nini?
Ungeweka yatakayofanyika ili kupunguza maswali huko PM

Pasaka ni siku nne .... Ijumaa, Jumamosi, Jumapili na Jumatatu.
Siku ya Jumatatu ndio tutarudi.
 
Mkuu ungependekeza majina kwanza ili wakija pm ndipo uchague mmojawapo daaahh!!! Hivi itakuwa shida unatoa bandiko wanakuja watu kama wooote mpaka wengine wanaogopa kuja huko pm halafu ungetoa vigezo vya huyo mwanamke unayetaka kwenda nae

NB.sio kila mwanamke ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…