Ukikamilisha kununua domain name, nenda kwa web hosting service yako kwa mfano huyo uliemtaja Hotmonster (japo hata katika website yao sioni mchanganuo wao wa features wanazotoa ikiwemo email hosting). Ukiweza tumia Godaddy Hosting (Wanaplan nzuri unayoweza kuhost emails na features za kutosha, au unaweza kutumia wengine unaowafaham).
Ukikwama usisite kunicheck pm au email dev@musa.one