Asee Comoro ya sasa siyo ile ya kujipigia kama zamani,nimefatilia kikosi chao vijana wengi wanacheza nje Ufaransa, Ubelgiji n.k
View attachment 1734522
Sina hakika kama Tanzania tukicheza nao watatuacha salama.
Tanzania tunafeli wapi?
Ina maana bado sisi ni wanyonge mpaka kwenye mpira kushinda Comoro?