Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Mara nyingi nchi mbali mbali zimeshai chastise Tanzania na kuwa na wakilishi double double, hawataki upuuzi huu.

Kama mnajivunia sana Muungano kuweni kama US basi, tujue moja. Haka ka Muungano ni figment ya mtu mmoja tu, wazo la Nyerere ambalo halijawahi kuwa reviewed and acted upon.

We Rais wa kisiwa umekaa kwenye ma bleachers nyuma nyuma halafu una mwanajeshi nyuma yako anakuuliza are you ok? Ridiculous. Zanzibar waachwe wawe huru kama Comoro watupunguzie gharama ya kuwatunza.
 
Kacomoro ni ka nchi kadogo sana hakawezi kuitunishia misuli Tanzania hata serikali yao ilipopinduliwa ni Tanzania ndio iliongoza majeshi ya kurudisha serikali halali iliyochaguliwa isistoshe wanaitegemea Tanzania kwa kiasi kikubwa kwa biashara ya chakula kwa wale mnaojifariji lazima mjue hivyo kama rais wetu atataka maelezo na kuvunja uhusiano nao wao ndio wataathirika zaidi lazima kutakuwa na sababu za kidplomasia za kufanya hivyo
 
Darasani tulizoea wale wa back bench ni wale watukutu, sasa sijui na yeye ni miongoni mwao
 
Namuona katibu kata katulia, sijui Leo kamwacha Wapi mkewe na zile mbuti zake za gonga sneki a.k.a kata funua?
 
Sasa kama ka nchi kadogo wamemfanyia hivi je akienda kwenye nchi kubwa si watakuwa kwa wauza vitumbua @ joking not serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…