Communication Security: Telegram is better than WhatsApp

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
1.una weza set secret chat ambayo msg zinajifuta with in 9 sec
2. Una weza set password kitu ambacho whatsapp huwez
3. Can't be hacked mpaka sasa hivi hakuna mtu aliweza ku hack
3.una weza ku weka group chat up to 5000 members
 
Vipi kuhusu attachment capacity and file formats?
 
Please mwenye kujua app ya kuhide icon app kwenye simu, maana password unaweza kulazimishwa kufungua.
 
1.una weza set secret chat ambayo msg zinajifuta with in 9 sec
2. Una weza set password kitu ambacho whatsapp huwez
3. Can't be hacked mpaka sasa hivi hakuna mtu aliweza ku hack
3.una weza ku weka group chat up to 5000 members

Ivyo ulivyovitaja ndo security features au service features za Telegram .?

Ni lini WhatsApp ilikuwa hacked referring to your 3rd judgment .
 
Ivyo ulivyovitaja ndo security features au service features za Telegram .?

Ni lini WhatsApp ilikuwa hacked referring to your 3rd judgment .
Pia atuambie zile chatbot zinazowekwa on telegram... How safe am i.
 
Acha kudanganya ndugu.Telegram group above 200 members hazina option ya kufuta mpaka admin afute. labda ku clear cache tu.au kupitia setting ukafuta picha na video lakini documents nyingine huwezi kufuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…