Common &John Legend "Glory" pamoja na "History"wa Jay Z

Common &John Legend "Glory" pamoja na "History"wa Jay Z

Ford Range

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
351
Reaction score
537
Kwangu mimi nyimbo hizo mbili za hip hop zina catch feelings zangu sana na hazinichoshi, kulingana na message na rhythm na mpangilio wake wa mashairi. Je nyimbo zako mbili za hip hop ambazo ni conscious na unazikubali sana sana ni zipi, tiririka hapa chini, ili tuongeze kwenye playlist zetu.

Conscious!



 
Back
Top Bottom