Kwenye kipindi hiki cha Corona, Mungu ndiyo amedhihirisha kabisa kuwa Matabibu ( ma-Daktari na wengineo) pamoja na ma-Askari ni watumishi wa Mungu perce kama walivyo Masheikh, Mapadre, Maaskofu, Wachungaji. Tofauti tu ni kwamba hao wa awali vituo vyao vya kazi haviko kwenye Mahekalu, Makanisa au Misikiti