Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
bila kupata kidumu wanawake wenzangu utakufa siku si zako.
solution ni kidumu tena ikiwezekana mkapime kabisa na kidumu awe mtu mzima kidogo ili ukiamua kuacha msianza kugandana.
ujumbe huu ni kwa wanawake wenye wivu, ub..o ni kama mwiko wa kupika chakula, mwenzio akipikia unaoshwa na wewe unautumia kama kawaida. kwa hiyo hakuna ub....malaya ila wanaume wote ni baba lishe tu. kwa hiyo wewe usiogope na wala usione wivu "oohh mme wangu malaya"! Hapana, we muulize kwa upole tu, "Baba lishe, huo mwiko umeusuuza? maana na mimi nataka kuutumia". haya ndio maisha ya wanaume wote wa kiafrika, chezea mwiko unaoshwa kwa kulambwa kama icreem za bakhresa!!!
unaosha rungu......... kwani mkeo hajui kuosha rungu?Nataka nimuoe niliyemzidi ujanja,nim cheat vizuri!!
Hiyo ngoma draw unaweza bambikiwa mtoto kidume-cheating ya mwanamke ni hatari sana ukiilinganisha na ya mwanaume ambayo haina madhara zaidi ya kuosha tu "rungu"
ujumbe huu ni kwa wanawake wenye wivu, ub..o ni kama mwiko wa kupika chakula, mwenzio akipikia unaoshwa na wewe unautumia kama kawaida. kwa hiyo hakuna ub....malaya ila wanaume wote ni baba lishe tu. kwa hiyo wewe usiogope na wala usione wivu "oohh mme wangu malaya"! Hapana, we muulize kwa upole tu, "Baba lishe, huo mwiko umeusuuza? maana na mimi nataka kuutumia". haya ndio maisha ya wanaume wote wa kiafrika, chezea mwiko unaoshwa kwa kulambwa kama icreem za bakhresa!!!
Mentor bado nipo nipo sana! (hapa asipaone shemeji yako!)
bila kupata kidumu wanawake wenzangu utakufa siku si zako.
solution ni kidumu tena ikiwezekana mkapime kabisa na kidumu awe mtu mzima kidogo ili ukiamua kuacha msianza kugandana.
Unamaanisha nini?aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!!!!!
ujumbe huu ni kwa wanawake wenye wivu, ub..o ni kama mwiko wa kupika chakula, mwenzio akipikia unaoshwa na wewe unautumia kama kawaida. kwa hiyo hakuna ub....malaya ila wanaume wote ni baba lishe tu. kwa hiyo wewe usiogope na wala usione wivu "oohh mme wangu malaya"! Hapana, we muulize kwa upole tu, "Baba lishe, huo mwiko umeusuuza? maana na mimi nataka kuutumia". haya ndio maisha ya wanaume wote wa kiafrika, chezea mwiko unaoshwa kwa kulambwa kama icreem za bakhresa!!!
I think I love my wife..
Nataka nimuoe niliyemzidi ujanja,nim cheat vizuri!!
Hiyo ngoma draw unaweza bambikiwa mtoto kidume-cheating ya mwanamke ni hatari sana ukiilinganisha na ya mwanaume ambayo haina madhara zaidi ya kuosha tu "rungu"
............Nilichojifunza ni kwamba wanaume tunapoiba wakati mwingine tunafikiri wake zetu hawajagundua, kumbe wana kausha tu kwani ngoma inakuwa draw. Tafakari na uchukue hatua.
ujumbe huu ni kwa wanawake wenye wivu, ub..o ni kama mwiko wa kupika chakula, mwenzio akipikia unaoshwa na wewe unautumia kama kawaida. kwa hiyo hakuna ub....malaya ila wanaume wote ni baba lishe tu. kwa hiyo wewe usiogope na wala usione wivu "oohh mme wangu malaya"! Hapana, we muulize kwa upole tu, "Baba lishe, huo mwiko umeusuuza? maana na mimi nataka kuutumia". haya ndio maisha ya wanaume wote wa kiafrika, chezea mwiko unaoshwa kwa kulambwa kama icreem za bakhresa!!!
I think I love my wife..
unajua kitu kinaitwa stress free ndo kizazi hiki usije jidanganya unamkomoa mkeo kwa kumcheat utalea watoto wa wenzio mpaka ukome....
Kwa pande zote..you simply have to do it only once...they say that after the first betrayal, there is no other. Mwendo mdundo CHEAT RESPONSIBLYUmenikosha sana kubwa la maadui......... kidumu kiwe mume wa mtu lol utaenjoije???? Kina stress kwa mkewe huko, mahabati kinajua na ATM inasomeka......... mbona wivu wa kijinga wa kumpekua mumeo mara simu mara umekula wapi, utausikia JF tuu!! Ila cheating lakini responsibly!!!!