Coming Soon to Bongo. Recognize the owner?!.

sissy...........unamuadabia kwa mbwembwe zake?!?!?

ndio mumie!!
huyu jamaa kila mara anamchuma mpya halafu mkali kuliko wa kwanza.
yaani kwa sifa za magari anazipenda na mm namuadabia kwa hilo.
 
Wenye fedhaaa zao!wengine hta bajaji hatuna!
 
Dah, yaani huu ni ulimbukeni wa ajabu. Hivi mnakaa mnashangaa gari za wenzenu? amma kweli hii nchi maendeleo ya kifikra ni bado sana.
 
Mara ya mwisho umepita Oysterbay Primary upande wa Msasani Road lini?

Obay has mostly gone to the dogs.

Si muda mrefu uliopita kama miezi mnne hivi iliyopita mkuu...naelewa kwamba maeneo hayo barabara si nzuri sana kwani sehemu kubwa lami imebanduka...lakini kwa namna Masaki/Msasani ilivyo walau kuna alternative routes nyinginezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…