Kwa wakati huu, ili Eddie Murphy aweze kucheza picha inayovutia, anatakiwa kucheza picha ya "kolabo" kama vijana wa siku hizi mnavyoita. Kwenye picha hiyo wanatakiwa kuwemo tuseme watu kama akina Will Smith, Dennis Rodman. Leonardo Di Caprio na wengine wengi maarufu. Murphy akicheza picha na watu hawa lazima tu itapendeza