Elections 2010 COMFIRMED: Lowassa achukua tena Monduli

Huyu jamaa hata akishinda ukweli ni kwamba yuko kwenye politics za kulazimisha tu lakini at the end of the day hana legacy yoyote zaidi ya kujineemesha
 
Waliompa kura huyu fisadi ni wendawazimu kweli...mtu mwenye akili timamu hawezi kumpa kura mwizi huyu....
 
Hivi ni kweli Mch. kapata 2,000 tu. Basi Monduli ni Wadanganyika wa kweli.
 
Wamasai wa huko ni poor,uneducated ,wala hawajui kitu kinachoitwa RICHMOND.

uyu jamaa anaweza kuwa fisadi ila anawajali watu wako kaleta maendeleo sana monduli ndoo maana wamasai wamamfeel....na ndo maana ya ubunge au siyo jamani...anaekujali ndo unaempa aijalishi kapata wapi hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…