Comedians mnafeli wapi?

Mimi sasa hivi siwezi kuangalia comedy ya mtu kajipaka makeup awe wa kike..
Joti mwenyewe nilikua namkubali lakini naona kama umri umemtupa na kipaji kimepotea.. yanai anaforce kuchekesha na mamakeup yake..
Katika watanzania 10, 9 Ni wachawi... Bahati mbaya na wewe Ni sehemu ya hao 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa nikujibu vipi

Kama umesoma O level, kwenye somo la kiswahili, topic FASIHI , wameeleza kila kitu, kuhusu vichekesho,


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaongelea fasihi ya form two kumbe mkuu, mi nikadhani unauelewa mkubwa kuhusu alichokiandika jamaa, sasa kama wote wakiigiza ukike inamaana kuwa fasihi unayoizungumzia wewe ina portray content za wanawake tu?
Au uniqueness ya msanii mmoja na mwingine ni IPI, au akina Charlie champilin na Mr Bean sio wanafasihi?
 
Mwingine huyu. Inaonekana unawazaga Sana kuhusu hizo mambo na ndo maana unajifanya unachukia hapa. Punguza mawazo machafu kichwani mwako. Anza kuadopt vitu vingine ili uache kufikiria kumtoboa mwanaume mwenzio.


Pathetic.
Bora uwe masikini wa fedha kuliko kuwa masikini wa kifikra huyo jamaa ana umasikini wa kifikra ndo maana anawaza mambo mabaya huyo Hana tofauti na wale ambao ukiwa tajili basi wewe Freemason au una uza madawa ya kulevya
 
Maisha yanaitaji akili sana; ukiishiwa chakula hakuna wa kukuletea chakula,ukiugua hakuna wa kukutibu bure
 
Kwa bongo nilikua napenda sana Ze comedy, yale maigizo yao. Bt since wamesambaratika hamna comedian ananifrahisha.

Kwenye Ze Comedy, Joti na Wakuvanga walikuwa baadhi ya segments wanaigiza kama wanawake, ulikuwa unazikubali au unazikataa?
 
Labda za Wabongo useme hupendezwi na content zao, lakini sanaa na umuhimu wake kwa jamii unabaki palepale.

Nimekuwekea hao wachache kati ya wengi wanaofanya makubwa na sanaa zao, hapo kuna Tyler Perry, Eddy Murphy na Martin Lawrence.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…