jchofachogenda JF-Expert Member Jan 8, 2012 537 123 May 20, 2012 #1 Anaitwa Zembwela(pichani kushoto) mchekeshaji maarufu kabla ya kuingia kwenye utangazaji wa redio na sasa ameingia kwenye fani ya kutunisha misuli kama inavyoonekana pichani.
Anaitwa Zembwela(pichani kushoto) mchekeshaji maarufu kabla ya kuingia kwenye utangazaji wa redio na sasa ameingia kwenye fani ya kutunisha misuli kama inavyoonekana pichani.
Mahesabu JF-Expert Member Jan 27, 2008 6,008 3,921 May 20, 2012 #2 Zamani alikuwa hivyo......ila ameji-RHEMTULAH
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 May 20, 2012 #3 The vise-verse is true, body builder & body destroyer
tatanyengo JF-Expert Member Mar 30, 2011 1,134 280 May 20, 2012 #5 Sikuu za nyuma jamaa alikuwa mnene..