Suala hili lilikuwa na pande mbili ambazo zote zilipitia hatua stahiki. Upande wa kwanza ulikuwa ni kwa watuhumiwa kujipima wenyewe na kuchukua hatua au chama kiwachukulie hatua.
Takriban miezi saba baada ya Azimio hilo kupitishwa, bado hatujapata mwitikio wa kuridhisha kutoka kwa viongozi wa ngazi yoyote wa chama chetu ambao ni
walengwa wa azimio
Viongozi wanaotuhumiwa kwa ufisadi watafakari, wajipime na kuchukua hatua wao wenyewe kwa maslahi ya chama, wasipofanya hivyo, chama kiwawajibishe bila kuchelewa
Mukama alisema sehemu ya pili ya azimio hilo inayosema: Wasipofanya hivyo chama kiwawajibishe bila kuchelewa
Maamuzi ya wananchi ni yapi hayo tuyajue!
Nimesoma maneno aliyonukuliwa Nape Nnauye kwenye Gazeti la Mwananchi
Mimi nataka nifahamu
1. Neno "Watuhumiwa" Katika Maazimio yenu lilikuwa linawahusu akina nani?
2. Je Mliwaandikia Barua au mlikuwa mnataka wajihisi wenyewe kwamba ni Watuhumiwa?
3. Mimi ninavyofahamu CCM wote ni watuhumiwa sasa nilitegemea CCM nzima ijipime Ichukue Maamuzi kabla Wananchi hawajachukua Maamuzi
au waliweka standard kuwa ukijihisi hivi basi utakuwa umefikia kipimo cha kujivua gamba
Asante sana mkuu..Albedo nadhani na wengine wanafiki humu wanaopenda kunyoosha vidole kwa watu wachache na hao wachache wakifanyika miamvuli ya mafisadi wengine....
hakuna msafi CCM ....ndio nimesema!
Albedo nice assessment. It is hard for anyone in CCM to point a finger to another. Almost all are rotten
Hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza mwenzake mkuu,Nimesoma maneno aliyonukuliwa Nape Nnauye kwenye Gazeti la Mwananchi
Mimi nataka nifahamu
1. Neno "Watuhumiwa" Katika Maazimio yenu lilikuwa linawahusu akina nani?
2. Je Mliwaandikia Barua au mlikuwa mnataka wajihisi wenyewe kwamba ni Watuhumiwa?
3. Mimi ninavyofahamu CCM wote ni watuhumiwa sasa nilitegemea CCM nzima ijipime Ichukue Maamuzi kabla Wananchi hawajachukua Maamuzi
watuhumiwa ni wanamtandao wakuu-RA na EL ambao wamekua midomoni mwa wananchi katika ufisadi mkubwa nchini....hatujali waliiba na nani au walichukua ngapi na kugawa ngapi...hawa ndiyo sura ya ufiadi nchini na hawatakiwi (hatutaki kujua nani aliwatuma kama ni JK au mafisadi wenzao wa kimataifa nje ya nchi-Marekani, Uk etc) sisi tunawajua hawa ndio poster boys wa ufisadi na hatuwataki...hivi kwa nini Mh EL anang'ang'ania kutaka kutuongoza wakati hatumtaki? huu ujinga wa kujiona una haki ya kuwaongoza tu watu au ulizaliwa uwe rais ni kitu cha mwisho Tz inakitaka kwa kiongozi ajaye 2015....tuna matatizo mengi tayari hatutaki mtu mwenye taswira ya mkuu wa genge la wahalifu aingie Ikulu...