Come as you are (njoo kama ulivyo)

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Hii sentence inatumiwa na wakristo wakiwakaribisha waliopotea kanisani.

Njoo kama ulivyo, haijalishi wewe ni mchawi, mzinzi, mpangani, shoga, tapeli, jambazi au fisadi, ila kanisani unakaribishwa na utapokelewa.

Kuna haja Dini zingine kutumia msemo huo ili kuokoa Dunia na kuepuka chuki na ufia Dini unaoendelea kuangamiza Dunia.
 
Kuwakirimu watu wa hovyo eneo la ibada ni sawa na kuchanganya vitoto vya kondoo na mbwa mwitu, haijakaa sawa kabisa.

Me nadhani kama watu wameona kuchagua maisha ya hovyo kinyume na maagizo ya MUNGU wanastahiki/wanastahili kutengwa na kuwekwa mbali sana na wale wanaojitahidi kufuata na kushika maagizo ya MUNGU.

Sasa watu wamekengeuka, wanaishi kadiri ya tamaa na matakwa ya akili zao, hawafahamu kitu kinaitwa ibada ila wanachojua ni kukesha nyumba za starehe wakifanya kila aina ya uasi halafu leo inasemwa tuwakaribishe na kuwachanganya na wale walio katika unyoofu wa kimaadili.

Me nadhani kama mbwai na iwe mbwai tu. Tuwatenge bila kusita. Kwemye makanisa ya magharibi wamewakaribisha hawa wakosa unyoofu leo hii ndio wameshika maamuzi hadi unashangaa mbona kanisa linapitisha mambo ya hovyo nini shida kumbe shida ni kukaribisha wafuasi wa yule muovu ambaye alikengeuka na kuhasi na wamengia kanisani sasa wanataka kuendeleza uhasi wao bila wasi wasi.
 
Ukiwatenga utawasaidiaje kumjua Mungu. unapowakaribisha na dhambi zao ni sawa kwasababu unawapa Fursa ya kumjua Mungu na kufuata yale anayotaka.

Watu waliopotea hawezi kuokolewa ikiwa wewe unawatenga. wakarishe kumjua Mungu.
 
Upo sahihi mtoa mada

YESU hakuja kwa ajili ya walio safi bali wenye dhambi...

Ndio maana alitembea na wenye dhambi na hata kula alikula nao...

Hata mateso na kifo chake ilikuwa kusudi la kuokoa wenye dhambi..
 
Kuwakirimu watu wa hovyo eneo la ibada ni sawa na kuchanganya vitoto vya kondoo na mbwa mwitu, haijakaa sawa kabisa.

Me nadhani kama watu wameona kuchagua maisha ya hovyo kinyume na maagizo ya MUNGU wanastahiki/wanastahili kutengwa na kuwekwa mbali sana na wale wanaojitahidi kufuata na kushika maagizo ya MUNGU.

Sasa watu wamekengeuka, wanaishi kadiri ya tamaa na matakwa ya akili zao, hawafahamu kitu kinaitwa ibada ila wanachojua ni kukesha nyumba za starehe wakifanya kila aina ya uasi halafu leo inasemwa tuwakaribishe na kuwachanganya na wale walio katika unyoofu wa kimaadili.

Me nadhani kama mbwai na iwe mbwai tu. Tuwatenge bila kusita. Kwemye makanisa ya magharibi wamewakaribisha hawa wakosa unyoofu leo hii ndio wameshika maamuzi hadi unashangaa mbona kanisa linapitisha mambo ya hovyo nini shida kumbe shida ni kukaribisha wafuasi wa yule muovu ambaye alikengeuka na kuhasi na wamengia kanisani sasa wanataka kuendeleza uhasi wao bila wasi wasi.
Haya ni manjilili (local brew) according to Zemanda

But Injili according to Jesus Christ:👇

Yesu alipokuwa akila chakula ndani ya nyumba ya Mathayo, watoza ushuru wengi na ^wadhambi^ wakaja kula pamoja Naye na wanafunzi Wake.

Mafarisayo walipoona mambo haya, wakawauliza wanafunzi Wake, ^Kwa nini Mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wadhambi?^

Lakini Yesu aliposikia hayo, akawaambia, ^Watu wenye afya hawahitaji tabibu, lakini wale walio wagonjwa ndio wanaohitaji tabibu.

Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ^Nataka rehema, wala si dhabihu.^

Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.^ ~Mathayo 9:10-13
 
Hii sentence inatumiwa na wakristo wakiwakaribisha waliopotea kanisani.

Njoo kama ulivyo, haijalishi wewe ni mchawi, mzinzi, mpangani, shoga, tapeli, jambazi au fisadi, ila kanisani unakaribishwa na utapokelewa.

Kuna haja Dini zingine kutumia msemo huo ili kuokoa Dunia na kuepuka chuki na ufia Dini unaoendelea kuangamiza Dunia.
makanisa mengine utalazimika kubadilika kutoka utu wa kale na kuwa mtu mpya ndio ujiunge nao. Akina masanja ndio wana msemo huo, njoo ulivyo, utapokelewa
 
Ukiwatenga utawasaidiaje kumjua Mungu. unapowakaribisha na dhambi zao ni sawa kwasababu unawapa Fursa ya kumjua Mungu na kufuata yale anayotaka.

Watu waliopotea hawezi kuokolewa ikiwa wewe unawatenga. wakarishe kumjua Mungu.
Lakini nyimbo za gospel zikipigwa kwenye disco na kwenye bar mnaona ni jambo la ajabu
 
Hii sentence inatumiwa na wakristo wakiwakaribisha waliopotea kanisani.

Njoo kama ulivyo, haijalishi wewe ni mchawi, mzinzi, mpangani, shoga, tapeli, jambazi au fisadi, ila kanisani unakaribishwa na utapokelewa.

Kuna haja Dini zingine kutumia msemo huo ili kuokoa Dunia na kuepuka chuki na ufia Dini unaoendelea kuangamiza Dunia.
Mungu ndiye anayemtengeneza mtu.

Akija alivyo,hatatoka alivyo,kuna vitu Mungu atamfanyia mabadiliko.

Sisi kule uamsho wa wakristo Tanzania,tunawakaribisha watu waje kama walivyo,hatua ya kwanza ni kuja.
Akishaweza kuja then the rest Mungu anafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makanisa mengine utalazimika kubadilika kutoka utu wa kale na kuwa mtu mpya ndio ujiunge nao. Akina masanja ndio wana msemo huo, njoo ulivyo, utapokelewa

Ndo maana njoo kama ulivyo, ukija baadae unabadilishwa na sio chuki na hutaki kuwapokea
 
Haya ni manjilili (local brew) according to Zemanda

But Injili according to Jesus Christ:

Yesu alipokuwa akila chakula ndani ya nyumba ya Mathayo, watoza ushuru wengi na ^wadhambi^ wakaja kula pamoja Naye na wanafunzi Wake.

Mafarisayo walipoona mambo haya, wakawauliza wanafunzi Wake, ^Kwa nini Mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wadhambi?^

Lakini Yesu aliposikia hayo, akawaambia, ^Watu wenye afya hawahitaji tabibu, lakini wale walio wagonjwa ndio wanaohitaji tabibu.

Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ^Nataka rehema, wala si dhabihu.^

Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.^ ~Mathayo 9:10-13

Kweli kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom