COMBINE HARVESTER INAUNZWA
tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana kuifanyia matengenezo pindi inapo haribika...kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania..ukivuna msimu moja tu ekari 350 utakua umerejesha hiyo hela,,kama ni mkulima ikikupite hii utakuja kuitatuta kwani ni zana chache hapa nyumbani..
mashine ipo MBWENI Daresalaam
BEI NI MIL..34 TSH
tuwasiliane 0714242879 ..0713676035 au binjaba5000@hotmail.com
nakaribisha madalali pia.. nipigie au niandikie tuongee biashara faster